Ombi la kutomfukuza mwanasiasa Bo Xilai

Imebadilishwa: 22 Oktoba, 2012 - Saa 14:36 GMT

Kundi la wachina wa mrengo wa kushoto wametoa wito kwa serikali ya nchi hiyo kutomfukuza baadaye wiki hii kiongozi wa zamani wa kisiasa Bo Xilai aliyeaibishwa.

Katika barua ya wazi zaidi ya wasomi na waliokuwa maafisa wa juu wa vyama 300 wamesema hatua hiyo inazusha maswali ya kisheria na imeshinikizwa kisiasa.

Bo, anayezungukwa na kashfa kubwa ya kisiasa kuwahi kutokea nchini China,alitimuliwa kutoka chama cha Kikomyunisti mwezi uliopita akishutumiwa kwa kutumia mamlaka yake vibaya na kuhusika na rushwa.

Taarifa zinazohusiana

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.