Marekani kuunga mkono serikali Lebanon

Imebadilishwa: 24 Oktoba, 2012 - Saa 07:52 GMT

Marekani na Muungano wa Ulaya zinaunga mkono juhudi za Lebanon za kuunda serikali mpya baada ya shambulio baya la bomu ambalo limeibua wasiwasi kwa udhabiti wa nchi hiyo.

Syria ambayo ni jirani ya Lebanon imelaumiwa kuhusu shambulio la Ijumaa. Serikali ya marekani imewaambia wananchi wa Lebanon kuwachagua viongozi ambao wataweza kudhibiti nchi licha mzozo wa Syria kusambaa nchini humo.

Maafisa wa Marekani na mkuu wa sera za kigeni wa Muungano wa Ulaya, Catherine Ashton, wameonya hatua ya nchi hiyo kuendeshwa bila viongozi.

Taarifa zinazohusiana

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.