Tetesi kuhusu afya ya Rais Putin

Imebadilishwa: 1 Novemba, 2012 - Saa 09:37 GMT

Tetesi zimezidi kuenea katika vyombo vya habari nchini Urusi kuhusu hali ya afya ya Rais wa nchi hio Vladimir Putin.

Amekatiza safari zake kadhaa za mataifa ya nje na kuzisongeza hadi mwezi Desemba, na ni nadra sana kumuona akitoka nyumbani kwake kando kando mwa mji mkuu Moscow.

Baada ya kukanusha ripoti wiki nzima, msemaji wake sasa amekiri kuwa anaumwa na mgongo, lakini akasisitiza kuwa hali yake haijaathiri kivyovyote kazi yake.

Taarifa zinazohusiana

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.