Mshukiwa wa ugaidi ahukumiwa kifungo

Imebadilishwa: 2 Novemba, 2012 - Saa 10:26 GMT

Raia mmoja wa Marekani amehukumiwa kifungo cha miaka kumi na saba gerezani kwa jaribio la kushambulia makao makuu ya jeshi la Marekani Pentagon, pamoja na bunge la nchi hiyo kwa kutumia ndege zilizokuwa na vilipuzi.

Rezwan Ferdaus, anayetoka jimbo la Massachusetts mwenye umri wa miaka ishirini na saba, alikiri mashtaka hayo baada ya kukamatwa na majasusi wa Marekani CIA waliyojifanya kuwa wanachama wa kundi la kigaidi la Al-Qaeda.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.