Polisi auawa na wahalifu Nigeria

Imebadilishwa: 5 Novemba, 2012 - Saa 14:22 GMT

Maafisa nchini Nigeria wanasema kuwa watu waliomiliki silaha wamevamia shule moja ya msingi, kituo cha polisi na minara miwili ya simu katika mji wa FIKA, Kaskazini mashariki.

Idara ya polisi inasema kuwa afisa mmoja wa polisi ameuawa katika shamabulio hilo.

Eneo la Kaskazini mwa Nigeria limekumbwa na mashambulio ya mara kwa mara yaliyohusishwa na wanamgambo wa kiislamu wa Boko

Taarifa zinazohusiana

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.