Wakimbizi wazama pwani ya Bangladesh

Imebadilishwa: 7 Novemba, 2012 - Saa 12:23 GMT


Takriban watu hamsini hawajulikani waliko baada ya boti walimokuwa wanasafiria kuzama.

Boti hiyo iliyozama pwani mwa Bangladesh, ilikuwa imewabeba wakimbizi

Hii ni ajali ya pili ya boti kutokea chini ya wiki mbili. Wiki jana boti nyingine iliyokuwa imewabeba wakimbizi wa kwenda Malaysia ilizama wakati abiria walikuwa wakiondoka kwenye boti hiyo kuingia katika meli kubwa.

Maelfu ya waisilamu wa Rohingya wametoroka Magharibi mwa Burma kuingia Bangladesh wakitoroka vita vya kikabila.

Taarifa zinazohusiana

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.