Msururu wa mashambulizi Afghanistan

Imebadilishwa: 8 Novemba, 2012 - Saa 18:05 GMT

Milipuko mitatu ya mabomu nchini Afghanistan imesababisha vifo vya watu kumi na nane.

Wengi wa waliofariki ni raia katika jimbo la Helmand ambao walifariki wakati basi dogo lilipolipuka

Mlipuko katika jimbo la Laghman umesababisha vifo vya wanajeshi kadhaa wa Afghanistan

Wakati katika mji wa Kandahar mlipuaji wa kujitoa muhanga aliyekuwa kwenye pikipiki amewaua maafisa watatu wa polisi.

Taarifa zinazohusiana

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.