Wafanyikazi mashambani SA wazua fujo

Imebadilishwa: 15 Novemba, 2012 - Saa 09:49 GMT

Maafisa wa serikali ya Afrika Kusini wanasema kuwa mtu mmoja ameuawawa katika mapigano kati ya polisi na wafanyikazi wa mashamba waliokuwa wanadai mishahara zaidi.

Watu hao wafanyao kazi katika mashamba yenye rutuba ya mizabibu na matunda mengine, yaliyopo viungani Cape Town, waliweka vizuizi barabarani, wakateketeza mashamba, kupindua magari na kuharibu ala za kazi.

Taarifa zinazohusiana

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.