Mwendesha mashtaka Korea Kusini ajiuzulu

Imebadilishwa: 30 Novemba, 2012 - Saa 07:19 GMT

Mwendesha mastaka mkuu nchini Korea Kusini amejiuzulu, baada ya kuomba msamaha hadharani kushusiana na kashfa kadhaa katika idara yake.

Han Sang-dae alisema matukio hayo, yaliyowahusisha maafisa chini ya usimamizi wake, yaliwashangaza na kuwavunja moyo watu wengi nchini humo.

Katika kisa kimoja, ofisa wa ngazi ya juu ameshtakiwa kwa kupokea rushwa, huku mwingine ameshtakiwa kwa kupunguza adhabu ya mshukiwa fulani na badala yake kuomuomba wawe wapenzi.

Taarifa zinazohusiana

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.