Ban Ki Moon kuwatembelea wakimbizi wa Syria

Imebadilishwa: 7 Disemba, 2012 - Saa 09:53 GMT

Katibu Mkuu wa moja wa mataifa Ban Ki Moon anatarajiwa kuwasili nchini Uturuki hii leo katika siku ya pili ya ziara katika mataifa yaliyoathirika na mzozo nchini Syria.

Takriban wakimbizi mia mbili elfu kutoka Syria wametafuta hifadhi Kusini mwa uturuki. Wengi wanaishi katika kambi zisizokuwa na huduma muhimu.

Ban anatarajiwa kuzuru kambi moja kama hiyo na baadaye atafanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan

Taarifa zinazohusiana

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.