Wasiliana na BBC Swahili
Idhaa ya Kiswahili ya BBC inakaribisha maoni, malalamiko na mapendekezo kutoka kwa wasikilizaji na wasomaji wetu.
Endapo una jambo lolote, tafadhali tumia fomu hapo chini kuwasiliana nasi, BBC inajali maoni yako na itafanyia kazi.
Taarifa zako za kibinafsi utakazozitoa zitashughulikiwa na BBC na wahudumu wengine wafaao ambao huwa tunawatumia ili kusaidia mfumo wetu wa kupokea malalamiko & maoni ya wasomaji. BBC na wahudumu tunaowatumia watahifadhi taarifa zako kwa mujibu wa sera yetu ya kuhifadhi data na Sheria ya Kulinda Data. BBC hushughulikia na kutumia taarifa zako kwa msingi wa maslahi yake halisi kama chombo cha habari kuwasiliana na wasomaji, na kujibu maoni ya wasomaji pamoja na maswali yao. Tembelea Sera ya BBC kuhusu Faragha na Kuki kwa maelezo zaidi kuhusu jinsi BBC hushughulikia data kukuhusu. Ukiwasilisha malalamiko kuhusu jinsi sisi tumeshughulikia taarifa zako binafsi na iwapo haujaridhishwa na jibu letu, unaweza kulalamika kwa Afisi ya Kamishna wa Habari.
Ikiwa una malalamiko yoyote tafadhali bofya kiunganishi hiki Toa Malalamiko yako hapa
Fax : + 44 207 240 4637
Namba ya Text [SMS] : + 44 7786 202 005
Afrika ya Mashariki na Kati
P.O. Box 58621, Nairobi, Kenya S.L.P. 79545 Dar es Salaam, Tanzania S.L.P. 7620, Kampala, Uganda B.P. 10996, Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo [DRC]
Au jaza fomu ifuatayo:-
Pia unaweza kupata maelezo kwa lugha ya Kiingereza hapa BBC Complaints .