Maswali yanayoulizwa mara kwa mara (FAQ)

Mbona mmeanzisha matangazo ya kibiasha kwenye mtandao huu wa BBC?

Ili kufadhili shughuli zetu za uandishi wa habari na kupunguza mzigo kwa wanaolipia ada ya leseni ya kupokea huduma zetu, BBC, kwa kuzingatia maelekezo kutoka kwa serikali, imekubali kuwa idhaa ya kimataifa ya World Service inapaswa kujiingiza katika shughuli za kibiashara kwa wastan katika baadhi ya huduma zake. Kwa sasa matangazo ya kibiashara yamewekwa katika mitandao kadhaa ya lugha mbali mbali tunazotangazia na pia kupitia mawimbi ya FM tunayotangazia mjini Berlin.

Niko nchini Uingereza na bado ninapokea matangazo ya kibiashara kwenye mitandao ya BBC. Ni kwanini?

Tunafanya kila tuwezalo kuhakikisha kuwa ni watumizi walio nje ya UIingereza pekee ndio wanaoweza kuona matangazo ya kibiashara, tunatumia teknolojia ya hali ya juu kuhakikisha hili. Hata hivyo ikiwa unatazama mtandao wa BBC ukiwa ndani ya Uingereza na kisha uone matangazo ya kibiashara, tafadhali tujulishe haraka iwezekanavyo kupitia barua pepe.

Nitawasiliana vipi na BBC kuhusu maswalli juu ya matangazo ya kibiashara?

swahili@bbc.co.uk

Habari zaidi kuhusu matangazo ya kibiashara kwenye BBC utayapata kwenye mitandao ifuatayo:

Una haja ya kutangaza biashara yako kupitia BBC? Bonyeza hapa kwa maelezo zaidi (KWA LUGHA YA KIINGEREZA)

Tunaamua vipi matangazo ya kibiashara utakayoyaona kwenye mitandao yetu? Bonyeza hapa kwa maelezo zaidi (KWA LUGHA YA KIINGEREZA):