Ukurasa wa ajira

Ukurasa wa ajira

Hapa utapata fursa ya kuangalia na kuchagua ajira unayotaka kadri BBC inavyotangaza nafasi za kazi katika taaluma mbali mbali.

BBC ina aina tofauti za ajira, baadhi ni kwa watu ambao tayari wanafanya kazi ndani ya BBC na nyingine ni kwa ajili ya watu ambao hawajawahi kufanya kazi BBC – na ajira za aina hiyo hutangazwa nje ya BBC.

Kinyume na wengi wanavyodhani, BBC inatoa ajira kando na uandishi wa habari na utangazaji, kwa hiyo usijinyime nafasi kabla ya kujaribu kuingia katika tovuti ya BBC Jobs, (http://www.bbc.co.uk/jobs)