Viunganishi vya mitandao ya kijamii

Kila ukurasa wa habari katika tovuti za Habari na Michezo sasa zinajumuisha viunganishi vya ualamishaji wa kijamii na wavuti

Viunganishi vya ualamishaji wa mitandao ya kijamii vinapatikana mwishoni mwa kila kurasa za habari

Tovuti hizi zinakuwezesha kuhifadhi, kushikiza na kuchangia viunganishi kupitia wavuti. Unaweza kubadilishana viunganishi hivi na marafiki na watu wenye shauku kama wewe. Unaweza kutumia viunganishi hivi kutoka kompyuta yoyote.

Kwa hiyo, endapo utaona habari yoyote ya BBC utakayoona inakuvutia na unataka kuihifadhi kwa matumizi ya siku za usoni au kubadilishana na watu wengine, unachotakiwa kufanya ni kubofya mojawapo ya viunganishi hivi kuongeza katika orodha yako.

Tovuti zote hizi ni bure lakini unahitaji kujisajili. Mara baada ya kujisajili unaweza kuanza kualamisha.

Kila tovuti kati ya hizi inafanya kazi tofauti na nyingine, kwa hiyo tumia tumia viunganishi hapo chini kuona huduma ipi inakidhi zaidi mahitaji yako.