Sanikisha Wiji katika mifumo tofauti

Tovuti yako Nakili na bandika msimbo hapo chini kwenye sehemu inayostahili katika blogu au tovuti yako.

WordPress

Bonyeza WordPress ambao ni mfumo wa kuandikia blogu na tovuti wenye mafanikio makubwa. Unatoa fursa ya kuongeza wiji kwenye mwambaa upande. Mandhari nyingi za WordPress zinaingiliana na wiji. Kusanikisha: 1. Pakua programu-jalizi ya wiji ya BBC Swahili 2. Unzip programu-jalizi 3. Pakia folda ya zip iliyochambuliwa kwenye folda ya WordPress /wp-content/plugins 4. Nenda kwenye paneli ya WordPress Manage Plugins na wezesha programu-jalizi 5. Nenda kwenye WordPress Appearance > Widgets panel na ongeza wiji ya chaguo lako kwenye mtambaa upande 6. Bofya 'Edit' kubadilisha vipimo vya lugha kwenye wiji, endapo kutakuwa na ulazima 7. Kwa maelezo zaidi, angalia katika waraka wa WordPress

iGoogle

iGoogle ni ukurasa unaoweza kuubadilisha na kuweza kuongeza wiji za aina mbali mbali na taarifa mpya kabisa. Kusanikisha wiji ya BBC Swahili: 1. Bofya hapa kujipatia wiji 2. Bofya "Add kwenye Google" 3. Kusakinusha: Bofya "Delete this gadget" kutoka kwenye viendesha wiji

Mac Dashboard

Unaweza kuongeza wiji kwenye dashboard ya Mac (au zingatia wiji ya Adobe Air). Kusanikisha: 1. Bofya hapa kupata wiji 2. Endapo unatumia kivinjari cha Safari, utatakiwa kusanikisha wiji 3. Endapo unatumia Firefox, hifadhi na unzip faili la .zip, kasha bofyabofya kwenye .wdgt ndani ya faili

Kusakinusha: 1. Katika Dashboard, bofya alama ya ‘+’ chini kushoto ya skrini 2. Bofya “Manage Widgets" 3. Tafuta "BBC Swahili Widget" kasha bofya alama ya '-'

Netvibes

bofya Netvibes ambayo ni ukurasa unaofanana na iGoogle. bofya hapa kusanikisha wiji ya BBC Swahili Kusakinusha, bofya kitufe cha “x” kwenye kona ya wiji.

Mwambaa upande wa Windows Vista

Endapo unatumia kompyuta yenye mfumo wa Vista, unaweza kubandika wiji kwenye mwambaa upande ( au zingatia wiji ya Adobe Air). bofya hapa kupata wiji Endapo unatumia Internet Explorer, kwanza hifadhi wiji kwenye kompyuta yako, kasha bofyabofya kuifungua.

Opera

Unaweza kutumia wiji za Opera kwenye desktop, simu za mkononi na hata kwenye televisheni. Kwa toleo la desktop, utahitaji kuwa umesanikisha bofya kirambaza cha Opera kwenye kompyuta yako, ingawa hauhitaji kufungua kirambaza ili kutumia wiji ( tunashauri utumie Opera toleo la 10 au jipya zaidi). 1. Hifadhi wiji kwenye kompyuta yako 2. Bofyabofya wiji iliyohifadhiwa kuifungua