Upatikanaji

Tovuti inayopatikana ulimwenguni kote inaweza kuwa kichocheo kikubwa na chanzo cha uhuru na uwezo kwa watu wenye ulemavu, ikiwapa nyenzo kuweza kutoa mchango wao vizuri zaidI kwa jamii na BBC.

Tumejidhatiti kuifanya Bbcswahili.com rahisi kupatikana kadri inavyowezekana.

Huduma zinazopatikana ni:

  • Semantic markup: (tangu mwishoni mwa mwaka 2008) kurasa zetu zimeundwa kufuatia viwango vya kimataifa, ili our pages are structured following international standards, ili maelezo yaweze kutolewa na huduma kama vile katika search engines
  • RSS feeds and ATOM feeds – Tunatoa muitikio kutokana na maelezo yanayopatikana katika ukurasa wa kwanza wa Bbcswahili.com, na pia kutoka mada zinazohusika, ambazo unaweza kuzipata hapa: RSS and ATOM
  • Low graphics version: mfumo uliorahisishwa wa maelezo fahirisi yetu na habari katika maandishi, iliyotolewa kama orodha, na kupatikana zaidi na wasomaji maalum.
  • Uchaguzi wa kubadili rangi na sura nyuma ya tovuti
  • Uchaguzi wa kuongeza ukubwa wa maandishi (hii inaweza kufanyika moja kwa moja kwa kuchagua kipengele “view” katika internet browser yako na kuchagua kipengele “Zoom” au “Text Size”
  • Barlesque keys shortcuts and other accessibility options

Kwa maelezo zaidi kuhusu upatikanaji/accessibility, tafadhali angalia sehemu ya “My Web” katika tovuti ya BBC kwa lugha ya kiingereza: http://www.bbc.co.uk/accessibility/