Habari zako, picha zako

Imebadilishwa: 11 Oktoba, 2011 - Imetolewa 09:48 GMT

Endapo una taarifa, picha au kipande cha SAUTI au video ambayo umepiga tunayoweza kuihitaji, unaweza kuituma kwenye tovuti ya BBC Swahili kupitia fomu hapo chini.

Mchango huu unaweza kuwa ulisababishwa na tukio katika eneo lako au huenda una usimulizi binafsi kuhusu habari inayotokea kwenye nchi yako.

Usisahau kuandika jina lako, anwani ya barua pepe na maelezo kiasi kuhusu picha, SAUTI au video. Unatakiwa pia kuandika namba ya simu endapo tutahitaji kuwasiliana na wewe kukuuliza maelezo zaidi.

Unapopiga picha au video, tafadhali usihatarishe usalama wako au watu wengine, epuka hatari zisizo za lazima na usikiuke sheria zozote. Tafadhali soma Bofya Kanuni na Masharti kwa maelezo kamili ya kanuni zetu - na haki zako.

Kwa kutuma vitu hivi, unakubaliana na Kanuni na Masharti

Endapo utakabiliana na ugumu wowote tafadhali tuandikie barua pepe Bofya swahlili@bbc.co.uk

Pia unaweza kututumia picha na video kwa barua pepe: Bofya maoni@bbc.co.uk

* Yaonyesha sehemu za lazima za kujaza

  • Yanayotakiwa kwenye picha:
  • Picha kamili: 200MB
  • Aina ya Jalada: jpg, gif, png
  • Yanayotakiwa kwenye Sauti/Video:
  • Picha kamili: 200MB
  • Aina ya Jalada: avi, mov, wmv, mp4, mpg, flv, 3gp, wav, mp3, wma

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.