Masharti kuhusu kombe la dunia

Kutokana na masharti ya shirikisho la FIFA kuhusu matangazo ya kombe la dunia 2014, matangazo ya redio ya BBC Swahili yanayopeperushwa kupitia kwenye mtandao hayataweza kupatikana, isipokuwa tu habari zetu za kila saa.

Masharti haya yataathiri matangazo kwenye mtandao kwa kipindi chote cha michuano ya kombe la dunia.

Hata hivyo matangazo yetu ya Redio yatapatikana moja kwa moja kupitia kwa komputa saa kumi na mbili na nusu jioni Afrika mashariki na saa kumi na mbili za asubuhi kila siku.

Mtangazo yetu ya kwenye mtandao yatarejea kama kawaida kuanzia Jumatatu tarehe 14 mwezi Julai kwa komputa na kupitia kwa simy ya mkononi.