Hong Kong

  1. Video content

    Video caption: Apanda Gorofa kwa kutumia gari la magurudumu

    Lai Chi-Wai apanda gorofa la urefu wa mita 250 kwa kutumia gari la magurudumu na kamba.

  2. Video content

    Video caption: Kwanini Hongkong ni muhimu sana kwa Uingereza?

    Fahamu historia ya mahusiano kati ya pande hizo mbili na kwanini hofu iliopo inaweza kubadilisha uhusiano uliopo kati ya China na Uingereza kabisa.