Ulevi

 1. Video content

  Video caption: Gabola: Kanisa la walevi la Afrika Kusini linalotukuza unywaji pombe

  Afrika Kusini imepiga marufuku uuzaji wa pombe kwa mara ya pili ili kudhibiti maambukizi ya Covid-19.

 2. Na Dinah Gahamanyi

  BBC News Swahili

  Kennedy Mwangi Wanderaanasema alitorokwa na mke wake aliyekua mlevi wa kupindukia baada ya kukosana nae kidogo

  Kennedy Mwangi Washira ni baba Mwendeshapikipiki anaewalea watoto wawili baada ya kuachwa na mke wake ambaye alikua mlevi wa kupindukia. Katika siku ya hii ya Baba au Akinababa duniani, amezungumza na BBC huhusu maisha yake ya malezi na kutoa ushauri akinababa wengine wanaopitia changamoto za kuwalea watoto wao peke yao.

  Soma Zaidi
  next
 3. Na Dinah Gahamanyi

  BBC News Swahili

  Tunashauriwa kuacha shughuli zinazotuchosha nyakati za wikendi kama vile kunywa pombe kupindukia ili kujiandaa kwa ajili ya Jumatatu ili kuepuka kuichukia siku ya Jumatatu

  Jumatatu ni siku ya kwanza ya mwanzo wa wiki na mara nyingi siku hii imekuwa ni adui wa wengi ambaye hazungumziwi hususan baada ya wengi kufurahi na kujivinjari katika siku zao za wikendi

  Soma Zaidi
  next