Ingawa umekuwa chanzo cha ubishi na mzozano kati ya dini mbalimbali, dini zote huungana kwa pamoja kuungama kwamba ni eneo takatifu.
Soma ZaidiMashariki ya Kati
Video content
Video caption: Mwamko wa mageuzi katika nchi za kiarabu yalikuwa ya mafanikio? Muongo mmoja uliopita, mchuuzi wa matunda alijiteketeza kwa moto, nakuchochea mwamko wa mageuzi katika nchi za kiarabu. Je yamekuwa ya mafanikio?.