Iraq

 1. Migrants receive humanitarian aid donated by Grodno people as migrants continue to wait at a closed area allocated by Belarusian government the Belarusian-Polish border in Grodno, Belarus on November 27, 2021.

  Watu wanaokimbia ghasia na mateso katika nchi zao wanalindwa na sheria za kimataifa - lakini nini kinatokea katika maisha halisi? BBC ilizungumza na wakimbizi watatu kuhusu hatari na kutokuwa na uhakika wa uzoefu wao wa kutafuta usalama.

  Soma Zaidi
  next
 2. Video content

  Video caption: Afisa usalama barabarani wa Iraq anayeongoza magari katika kiwango cha nyuzijoto 50

  Iraq ni mojawapo ya maeneo yenye hali ngumu ya hewa kwa mtu kuishi. Kushuhudia hilo BBC imefuatilia maisha ya askari wa usalama barabarani kazini katika nyuzijoto zaidi 50

 3. m

  Saddam Hussein, ambaye aliingia madarakani mnamo mwaka 1979, alibaki kuwa rais wa Iraq hadi uvamizi ulioongozwa na Marekani mnamo 2003. Alitaka kutengeneza nakala ya Kitabu kitakatifu cha Qur'an kwa kutumia damu yake badala ya wino.

  Soma Zaidi
  next
 4. Ni wanajeshi 2500 pekee wanaosalia Iraq

  Wakati wa ziara ya Waziri mkuu wa Iraq Mustafa al Kadhimi katika White House Jumatatu, ilitangazwa kuwa majeshi yote ya Marekani yanayopigana vita yatakuwa yameondoka nje ya Iraq kufiia mwishoni mwa mwaka huu kama sehemu ya mkakati wa mazungumzo baina ya nchi mbili.

  Soma Zaidi
  next
 5. Iraq yapiga marufuku maonyesho ya Televisheni ya ugaidi

  Kipindi cha Raslan

  Vipindi viwili vya televisheni ambavyo vimezua ghadhabu nchini Iraqi kwa kuwafanyia mzaha watu maarufu kwa kutumia vilipuzi bandia na kuiga visa vya utekaji vimesitishwa.

  Mmalaka ya mawasiliano imesema vipindi hivyo - Tony's Bullet na Raslan's Shooting - vimekiuka kanuni za mawasiliano.

  Kipindi kimoja cha Risasi ya Raslan, mwigizaji alizimia kwa hofu baada ya kufungwa vilipuzi bandia.

  Watazamaji walikosoa vipindi hivyo kwa kuendekeza ukatili hasa ikizingatiwa vitisho vya mara kwa mara kutokana na mashambulio yanayofanywa na wanamgambo nchini Iraq.

  Islamic State imetimuliwa katika ngome yake Iraq lakini kundi hilo limeendelea kuwashambulia raia na wanajeshi.