Intaneti (Mtandao)

 1. mm

  Umeshawahi kuwa na siku mbaya kazini, huku unaanza kulalamika na kuwatumia wafanyakazi wenzako jumbe fupi kwenye simu na bahati mbaya kiongozi wako mkuu anayaona malalamiko yako? Ni nadra sana kuwepo na usiri kwenye chombo cha mawasiliano.

  Soma Zaidi
  next
 2. Video content

  Video caption: Mkulima mstaafu ambaye sauti yake inawafanya watu wakabiliane na hofu

  Watu kutoka maeneo mbali mbali duniani wamemshukuru mkongwe wa miaka 84, nyota wa YouTube ambaye sauti yake inawasisimua na kuwafanya wakabiliane na hofu.

 3. Video content

  Video caption: Ujumbe wa kwanza wa twitter wa Jack Dorsey wauzwa $2.9m

  Ujumbe wa kwanza wa muazilishi wa mtandao wa Twitter Jack Dorsey umeuzwa kwa dola milioni 2.9 kwa mfanyabiashara wa Malaysia.