Maisha (kwa maana ya mtindo wa kuishi)

 1. Video content

  Video caption: Kwa nini ni vigumu kwa watu wanaoishi katika maeneo ya volkano kuhama?

  Jamii ya Wamasai huthamini sana mlima huu na wanadai kuwa ni njia wanayotumia kuwasiliana na Mungu.

 2. Dinah Gahamanyi

  BBC Swahili

  Putin akiwa na mbwa wake Buffy na Yume

  Akiwa ni mmoja wa viongozi wa dunia wenye nguvu na ushawishi zaidi na mwenye ulinzi mkali, Rais wa Urusi amekuwa akiishi maisha yanayoaminiwa kuwa ya ulinzi mkali na zaidi akiepuka kuchangamana sana na watu wengine wa nje isipokuwa inapokuwa lazima.

  Soma Zaidi
  next
 3. Video content

  Video caption: Tunadadisi kwa kina kuhusiana na mbunge huyo kutolewa nje ya bunge sababu ya mavazi yake

  Spika wa bunge la Tanzania Job Ndugai aliamuru mbunge huyo kutolewa nje kutokana na suruali aliyokuwa ameivaa kuonekana kumbana.

 4. A bride looking sad on her wedding day, with three woman looking at her critically

  Siku yako ya harusi inatakiwa kuwa n siku ya furaha zaidi kwenye maisha yako, lakini yaweza kuwa ni siku ngumu zaidi. Kuna baadhi ya nchi hasa Ulaya mashariki mila za kizamani bado zinadumu mpaka wa leo na kuendelea kuumiza kisaikolojia maharusi.

  Soma Zaidi
  next