Tanzania

 1. Video content

  Video caption: Utamaduni wa Wahadzabe wa Tanzania kuhusu jinsi wanavyowaozesha mabinti zao

  Je kwa utamaduni wa kwenu kitu gani ni lazima kwenye mahari? kwa wahadzabe wa Hydom nchini Tanzania nyama ya nyani, pofu, bangi, tumbaku na pombe ya asali ni lazima.

 2. Simba imetinga hatua ya makundi baada ya kuifunga Platinum FC ya Zimbabwe 4-0 jijini Dar es Salaam.

  Droo ya makundi ya Klabu Bingwa barani Afrika imepangwa hii leo ambapo wawakilishi pekee wa Afrika Mashariki Simba SC wamepangwa katika kundi la A Pamoja na mabingwa wa Afrika Al Ahly ya Misri.

  Soma Zaidi
  next
 3. Video content

  Video caption: 'Si kawaida kwa mwanamke kufanya kazi hizi na si tatizo la Afrika pekee’

  Christine Mosha au maarufu kama Seven ni Mtanzania ambaye ameteuliwa na Kampuni ya Sony Music Entertainment Africa.

 4. Video content

  Video caption: Fahamu utamaduni wa wanawake kujenga nyumba kwa jamii ya Hadzabe, Tanzania

  Fuatilia jinsi wanawake wa jamii ya Hadzabe, Tanzania wanavyotekeleza wajibu wao wa kujenga nyumba kwa ajili ya familia.