Waislamu wa Kishia

 1. Video content

  Video caption: Serikali ya Tanzania yaondoa kesi ya ugaidi dhidi ya Mashekhe wa Uamsho

  Masheikh wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumiki), waliokuwa gerezani nchini Tanzania kwa zaidi ya miaka saba wameachiwa huru.

 2. A man arrives for morning prayer in Kashgar, Xinjiang, a mostly Muslim region in north-western China

  Takriban Maimam 630 na viongozi wengine wa dini ya kiislamu wamekamatwa nchini uchina tangu mwanzoni mwa operesheni ya kuwakamata iliyoanza katika jimbo la Xingiang mwaka 2014, a kulingana na utafiti uliofanyw ana kikundi cha haki za binadamu cha jamii ya Uighur.

  Soma Zaidi
  next