Ukosefu wa ajira

 1. mm

  Umeshawahi kuwa na siku mbaya kazini, huku unaanza kulalamika na kuwatumia wafanyakazi wenzako jumbe fupi kwenye simu na bahati mbaya kiongozi wako mkuu anayaona malalamiko yako? Ni nadra sana kuwepo na usiri kwenye chombo cha mawasiliano.

  Soma Zaidi
  next
 2. Video content

  Video caption: Mike brown: Mtanzania anayetengeneza dola elfu 45 kwa mwaka kwa kufuga mbwa

  Mike brown sasa mfugaji wa mbwa na mkulima

 3. Rais wa Kenya atangaza kazi kwa watengenezaji bunduki haramu

  Zaidi ya silaha haramu 5,000 zilizojisalimishwa wakati wa msamaha zilichomwa moto mwaka jana
  Image caption: Zaidi ya silaha haramu 5,000 zilizojisalimishwa wakati wa msamaha zilichomwa moto mwaka jana

  Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametoa wito kwa watengezaji bunduki haramu kujiunga na kiwanda kipya cha utengenezaji silaha nchini.

  Amesema salaha nyingi haramu zinazokamatwa na mamlaka za usalama zinatengezwa nchini.

  Rais amewaahidi watengenezaji silaha "uthabiti" wa kazi "kukuza uchumi na kusaidia kudumisha usalama wan chi yako”.

  Alisema wale wanaotaka kazi kuwasiliana na vyombo vya usalama kutoa huduma zao.

  Mnamo mwezi Aprili Kenya ilizindua kiwanda cha silaha mbacho kilijengwa kwa gharama ya dola milioni 36.

 4. Video content

  Video caption: Wanawake wa zambia wanavyotumia baiskeli kurahisisha shughuli zao za kila siku

  Kama hauna gari na barabara ni mbovu sana basi inakua vigumu kupeleka bidhaa sokoni au kufika shuleni. Je baiskeli ni jibu ? Watu hawa wa Zambia wanahisi hivyo

 5. Tess Daly anasema hapendi kutumia neno ''mshawishi wa kimtandao'', licha ya kuwa mmoja wao.

  "Lazima ufanye kazi kwa bidi ili kuwa wewe uanetaka kuwa mkweli na kuamini nembo unayoinadi." Ni Maneno ya ushauri kutoka kwa mshawishi mwenye ulemavu mwenye umri wa miaka 32 Tess Daly mwenye wafuasi zaidi ya laki mbili katika mtandao wa kijamii wa Insragram

  Soma Zaidi
  next