Uanahabari

 1. Video content

  Video caption: 'Tutazingatia kuwa na sheria isiyokwaza ya upatikanaji na usambazaji habari'

  Baraza la habari Tanzania: 'Tutazingatia kuwa na sheria isiyokwaza ya upatikanaji na usambazaji habari'

 2. Mwanahabari wa Chad atoweka baada ya kuangazia maandamano

  Mwanahabari mmoja nchini Chad ametoweka siku kadhaa baada ya kuangazia taarifa ya maandamano, kundi la kutetea haki za binadamu nchini humo limesema.

  Moïse Dabsene alikamatwa wakati wa maandamano ya tarehe 20 na kuachiliwa siku hiyo hiyo.

  Familia yake imenukuliwa na kundi la Chad CTDDH ikisema kwamba mara ya mwisho yeye kuonekana ilikuwa tarehe 25 Machi.

  Kundi hilo linasema hayuko katika kituo chochote cha polisi na kutoa wito aachiliwe huru ikiwa amekamatwa.

 3. Video content

  Video caption: Matangazo ya Dira ya Dunia TV Ijumaa 11/12/2020

  Matangazo ya Dira ya Dunia TV Ijumaa 11/12/2020 na Zuhura Yunus

 4. Video content

  Video caption: Matangazo ya Dira ya Dunia TV Alhamisi 22/10/2020

  Matangazo ya Dira ya Dunia TV Alhamisi 22/10/2020 na Zuhura Yunus

 5. 'Nilifungwa jela kwa kufichua vitendo vya rushwa'

  Hopewell Chin'ono

  Katika mfululizo wa barua kutoka kwa waandishi wa habari, mwanahabari wa Zimbabwe Hopewill Chin'ono anaeleza namna gani alikabiliana uso kwa uso na athari za kusaidia kufichua kashfa ya rushwa mwanzoni mwa mwaka huu.

  Maelezo:

 6. Aboubakar Famau

  BBC Swahili

  Matayo Kudenya

  Matayo Kudenya, kijana aliyekuwa akisumbuliwa na tatizo la tende ya korodani , hatimae amepata msaada wa kufanyiwa upasuaji bila gharama kwa udhamini wa hospitali ya Decca iliyopo jijini Dodoma.

  Soma Zaidi
  next
 7. Mkenya ashindi tuzo ya Komla Dumor 2020

  Kufikia hapo tunakamilisha matangazo yetu ya moja kwa moja.

  Tunakuacha na video hii ya mshindi wa tuzo ya Komla Dumor.

  Video content

  Video caption: Victoria Rubadiri ndiye mshindi wa tuzo ya Komla Dumor 2020