HRW

 1. Sammy Awami

  BBC Swahili, Dar es Salaam

  Shirika la haki za kibinadamu la Human Rights Watch linasema kwamba wapenzi wa jinsia moja wananyimwa haki zao za kimsingi nchini Tanzania

  Shirika la kutetea haki za binadamu la kimataifa Human Rights Watch limeishutumu serikali ya Tanzania kwa kutekeleza sera za afya zinazowanyima huduma za kutosha watu wanaovutiwa kimapenzi na watu wa jinsia moja.

  Soma Zaidi
  next
 2. Sekya ya mafuta ya mawese ni chanzo kikuu cha ajira DR Congo

  Wafanyakazi wanaoathirika na dawa hiyo ya wadudu katika kampuni ya Uingereza inayofadhiliwa nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo wamelalamikia kuwa na ugumba, kulingana na kundi moja la haki za kibinadamu.

  Soma Zaidi
  next
 3. Video content

  Video caption: Mkewe mfanyabiashara wa Kenya aliyetekwa nyara Tanzania na kuachiliwa Mombasa azungumza

  Anasema kwamba alihisi kama alivyohisi siku ya ndoa yake alipokutana na mumewe.