Misaada ya Kibinadamu

 1. Mfahamu bilionea aliyetoa mali yake yote kwa masikini

  Chuck Feeney katikati amekuwa bilionea kwa muda wa miaka 40 iliyopita.
  Image caption: Chuck Feeney katikati amekuwa bilionea kwa muda wa miaka 40 iliyopita.

  Charles "Chuck" Feeney ni bilionea ambaye alikuwa na ndoto za kumaliza mali yake yote akiwa hai, kwa kutoa fedha zake zote kwa mashirika ya hisani.

  Mfanyabiashara huyo wa Marekani mwenye umri wa miaka 89 , hatimaye amefikia lengo lake siku chache ziliopita alipotoa dola ,milioni 8,000 kusimamia miradi ya hisani duniani.

  Maelezo zaidi: