Takwimu kuhusu Watu

  1. Kenya imeanza zoezi la kuhesabu watu yaani sensa. Serikali hutumia shughuli hii ili kujua jinsi ya kupanga na kukadiria matumizi ya raslimali na fedha lakini pia wanasiasa hutumia idadi ya watu na maeneo walioko kutathmini azma zao za kisiasa

  2. Video content

    Video caption: Lakini je wakenya wamejitayarisha vipi kwa shughuli hii?

    Serikali hutumia sensa kujua jinsi ya kupanga na kukadiria matumizi ya raslimali na fedha lakini pia wanasiasa hutumia idadi ya watu na maeneo walioko