Masuala ya Kifedha ya Kibinafsi

 1. Video content

  Video caption: Britney Spears anyimwa haki ya kumiliki mali yake.

  Mwanamuziki maarufu nchini Marekani amenyimwa haki ya kumiliki mali yake na mahakama moja nchini humo.

 2. Mfahamu bilionea aliyetoa mali yake yote kwa masikini

  Chuck Feeney katikati amekuwa bilionea kwa muda wa miaka 40 iliyopita.
  Image caption: Chuck Feeney katikati amekuwa bilionea kwa muda wa miaka 40 iliyopita.

  Charles "Chuck" Feeney ni bilionea ambaye alikuwa na ndoto za kumaliza mali yake yote akiwa hai, kwa kutoa fedha zake zote kwa mashirika ya hisani.

  Mfanyabiashara huyo wa Marekani mwenye umri wa miaka 89 , hatimaye amefikia lengo lake siku chache ziliopita alipotoa dola ,milioni 8,000 kusimamia miradi ya hisani duniani.

  Maelezo zaidi:

 3. Video content

  Video caption: Wahamiaji wanapoteza mabilioni ya fedha kwa mawakala wakituma fedha nyumbani

  Wafanyakazi wahamiaji, wengi wakilipwa fedha kidogo, hutuma mabilioni ya dola nyumbani wanakotoka kwa ajili ya kusaidia familia zao. Lakini kiasi kikubwa cha fedha hizo huchukuliw