Apple

  1. Video content

    Video caption: Tim Cook: Afisa mkuu mtendaji wa kampuni ya Apple sasa ni bilionea.

    Afisa mkuu mtendaji wa kampuni ya teknolojia ya Apple Tim Cook amejiunga na kundi la mabilionea baada ya bei ya hisa ya kampuni hiyo kuongezeka maradufu.