Adhabu Kali

 1. Video content

  Video caption: Wanaume wanne walioshtakiwa kwa ubakaji na mauaji wanyongwa nchini India

  Wanaume wanne raia wa India wameuwawa kwa kunyogwa nchini humo baada ya kushtakiwa kwa ubakaji na mauaji ya kinyamama kwenye basi huko Delhi  mwaka wa 2012

 2. Video content

  Video caption: je, unadhani wazee wanaweza kuzeeka hadi kukosa maana.

  Tembelea tovuti ya bbc- uone simulizi ya jamii ya kabila la watu walio wachache mashariki mwa Paraguay jinsi walivyowauwa watu wazee walodaiw kutokuwa na faida yoyote

 3. Video content

  Video caption: Daktari feki aliyewadanganya wanawake kujichoma na umeme afungwa

  Mtu aliyejifanya kuwa daktari ili kuwashawishi wanawake na wasichana kujiua wenyewe kwa kutumia nguvu za umeme amepewa kifungo cha miaka 11 huko Ujerumani

 4. Video content

  Video caption: Mtoto mdogo aliyeachwa barazani na wazazi wake afariki dunia baada ya kuganda barafu.

  Waendesha mashtaka nchini Urusi wamefungua kesi ya uhalifu baada ya mtoto mdogo aliyeachwa barazani na wazazi wake kufariki dunia baada ya kuganda barafu.