Aung San Suu Kyi

  1. Kiongozi wa Myanmar Aung San Suu Kyi akizungumza katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) huko The Hague

    Kiongozi wa Myanmar Aung San Suu Kyi ametetea oparesheni iliyotekelezwa na wanajeshi wake dhidi ya Warohingya katika Mahakama ya kimataifa ya ICC huko The Hague. Nchi nyingi na mashirika ya haki za kibinadamu yameilaumu Myanamar kwa mauaji ya kimbari, lakini Gambia ndiyo inayoishtaki.

    Soma Zaidi
    next