CHADEMA

 1. Video content

  Video caption: Samia Suluhu Hassan: Mabadiliko ya sura ya kisiasa Tanzania

  Miaka 100, tangu rais Samia aingie madarakani, hali ya kidemokrasia ikoje kwa vyama vya upinzani?

 2. Video content

  Video caption: Uchaguzi Tanzania 2020: Lissu asimulia jinsi alivyokamata

  Kiongozi wa chama cha upinzani tundu lissu amezungumzia matukio ya kukamatwa kwake

 3. Chadema

  Jeshi la polisi nchini Tanzania limetoa tamko la kuzuia mikusanyiko wa watu siku ya Jumatatu ya Julai 27, hatua hiyo inakuja baada ya viongozi mbalimbali wa chama cha siasa cha Chadema kuhamasisha wananchi kujitokeza kwenda kumpokea mmoja wa wanasiasa wa chama hicho bwana Tundu Lissu.

  Soma Zaidi
  next