Benki ya Dunia

 1. Video content

  Video caption: Zitto Kabwe aeleza kwanini anataka Benki ya Dunia isiikopeshe Tanzania kwa sasa

  Viongozi wa upinzani na wanaharakati ni baadhi ya makundi yaliyoiandikia Benki ya Dunia kutokutoa mkopo wa elimu kwa Tanzania wa dola milioni 500.

 2. Mo Dewji afunguka kuhusu siku 9 akiwa mikononi mwa mateka

  Bilionea kijana Afrika na mmiliki wa mojawapo ya klabu maarufu ya soka Afrika mashariki Simba SC - Mohammed Dewji akumbuka muda alipotekwa mwaka jana na namna alivyotishiwa maisha yake Tanzania.

  Soma Zaidi
  next