al-Qaeda

 1. Mashambulizi

  Iwapo kuna sura na wahusika nyuma ya pazia zito la magaidi waliopanga, kufadhili na kutekeleza mashambuli hayo ya 1998 dhidi ya Kenya na Tanzania, washukiwa hawa watatu ,walifahamu fika kilichochokuwa kizisibu nchi hizo za Afrika mashariki kabla hata ya siku ya mkasa.

  Soma Zaidi
  next
 2. Diana Mutisya ameungua majeraha ya maisha tangu shambulio hilo

  Mtumishi mmoja wa serikali nchini Kenya Diana Mutisya amekatishwa tamaa baada ya kubaini kuwa hata pokea fidia kama itakavyokuwa kwa raia wa Marekani waliojeruhiwa wakati wanamgambo wa al-Qaeda walipolipua kwa bomu ubalozi wa Marekani mjini Nairobi miaka 22 iliyopita.

  Soma Zaidi
  next