Wanawake

 1. Video content

  Video caption: Jinsi mlipuko ulivyomharibia siku Bibiharusi Beirut

  Bibiharusi Israa Seblan alikua amepanga kuchuliwa video ambayo ingebeba picha za siku ya furaha isiyo na kifani maishani mwake. lakini hali ilikua kinyume kutokana na mlipuko

 2. Video content

  Video caption: 'Mume wangu alitaka wazazi wake waje kwenye fungate yetu'

  Ndoa ya kupangwa: Wanawake wasimulia uzoefu wao wa ndoa za kupangiwa katika jamii ya kusini mwa bara Asia

 3. Video content

  Video caption: Wasichana wanaotengeneza mashine zinazowasaidia wagonjwa wa corona kupumua

  Timu ya wasichana pekee kutoka nchini Afghanstan imeelekeza juhudi zake katika kuwasaidia wagonjwa wa Covid-19- kwa kutengeneza mashine za bei nafuu (ventilator).

 4. Video content

  Video caption: Ujauzito wakati wa janga la corona

  Kufuatia mlipuko wa virusi vya corona, akina mama wajawazito wamekumbana na changamoto zaidi kuanzia kwenye kwenye kukaa mbali na watu na huduma za afya.

 5. Anne Ngugi

  BBC Swahili

  Stella Mutahi

  Kwa kawaida ndoa inapovunjika, uhusiano kati ya mwanamke na mashemeji hukatika pia. Lakini kwa Stella Mutahi, kuvunjika kwa uhusiano wake na mumewe kulizaa uhusiano mwingine usio wa kawaida.

  Soma Zaidi
  next