Ujerumani

 1. Nördlingen

  Wakazi wa kwanza katika mji wa wa Ujerumani wa Nordlingen wanadhaniwa kuishi katika eneo la shimo lililotokana na volkano. Lakini mandhari ya kipekee ya eneo lenyewe yalikuwa tofauti kabisa.

  Soma Zaidi
  next
 2. Merkel: Ujerumani inakabiliwa na maambukizi makubwa ya Covid-19

  Merkel: Ujerumani ilikumbwa na nguvu kamili ya Covid

  Ujerumani iko katika mtego wa wimbi "kubwa" la nne la Covid, Kansela Angela Merkel amesema katika mkesha wa mkutano wa mgogoro na viongozi wa kanda.

  Maambukizi ya kila siku yalifikia 52,826 rekodi mpya ya Ujerumani ya siku ya Jumatano wakati serikali za Ulaya zikijizatiti kudhibiiti maambukizi ya virusi katika bara hilo.

  Ingawa jumla ya vifo vya Ujerumani ni chini sana kuliko ile ya Uingereza, vifo 294 vimerekodiwa ndani ya masaa 24 na Bi Merkel alizungumza juu ya dharura na vitanda vya wagonjwa mahututi vinavyojaa hospitalini.

  Uingereza iliripoti vifo vingine 201 ndani ya siku 28 za kupimwa kuwa na Covid mnamo Jumatano, na maambukizo zaidi 38,263.

  Ubelgiji ilitangaza msururu wa hatua katika jahudi ya kuzuia amri ya kutotoka nje.

  "Ishara zote za ni nyekundu," Waziri Mkuu Alexander De Croo alisema, alipowasihi watu kupunguza mawasiliano ya kibinafsi.

  "Ramani ya Ulaya inageuka nyekundu kwa kasi, na sisi hatujasazwa."

  Watoto wa kuanzia umri wa miaka 10 nchini Ubelgiji watalazimika kuvaa barakoa badala ya umri wa sasa wa miaka 12.

  Kufanya kazi nyumbani itakuwa lazima kwa siku nne kwa wiki kuanzia Jumamosi.

  Pasi zinazojulikana kama Tiketi za Covid Safe zitahitajika katika kumbi za sinema, na makumbusho.

  Ujerumani na Austria zimeripoti foleni katika vituo vya chanjo, lakini zina viwango vya chini zaidi vya watu waliopokea chanjo eneo la Ulaya Magharibi.

  Virusi vya Conona: Tunachokifahamu kuhusu kirusi kipya kinachotishia dunia

  Je dhana potofu kwamba chanjo ya corona ina sumaku ilitoka wapi?

  Wafanyakazi wanaolazimika kuchagua chanjo ama ajira

 3. Uchaguzi Ujerumani

  Chama cha siasa za mrengo wa kati kushoto (SPD) nchini Ujerumani kinaelekea kushinda uchaguzi mkuu, wakati matokeo yaliyotarajiwa yakionekana kuwa mabaya kwa chama cha Kansela anayeondoka madarakani Angela Merkel.

  Soma Zaidi
  next
 4. Septemba 23, 2021: Muhula wa Merkel ulitawaliwa na mafanikio na mapungufu lakini atakumbukwa kwa mtindo bora wa utawala wake

  Bi Angela Merkel anajiuzulu kama kiongozi wa ujerumani baada baada ya miaka 16 , na kumaliza kazi yake kama mwanasiasa. Ujuzi alionao unanyeshwa katika picha katika pembe zote: Kuanzia ziara yake kwa mvuvi katika kampeni zake za mwanzo, hadi katika mazungumzo ya White House, na matukio mengine yaliyotokea katika nyakati tofauti.

  Soma Zaidi
  next
 5. Video content

  Video caption: Angela Merkel:Ujerumani itamkumbuka vipi kansela huyu?

  Wajerumani wanajiandaa kumuaga Angela Maerkel, ambaye amekuwa madarakani kama kansela kwa miaka 16, Je historia ya Ujerumani itamkumbuka vipi?