Upigaji Picha

 1. Video content

  Video caption: Mpiga picha aliye na jicho moja aeleza safari yake ya kujikwamua kimaisha

  Mpiga picha aliye na jicho moja aeleza safari yake ya kujikwamua kimaisha

 2. Mamba alivyowapa 'ulinzi wa kipekee' wanawe

  Mamba

  Picha inayomuonesha mamba akiwabeba watoto wake mgongoni kwa kutumia mbinu isiokuwa ya kawaida inaendelea kuzua gumzo mitandaoni.

  Picha hiyo ya kuvutia ilinaswa na mpiga picha Dhritiman Mukherjee katika hifadhi ya Uttar Pradesh nchini india.

  Miito imekuwa ikitolewa kupendekeza mpiga picha huyo apewe tuzo ya mwaka huu ya picha bora ya wanyhama pori.

  Mamba

  Dhritiman anasema mamba kwa kawaida huwabeba watoto wao kwa (makini) wakitumia mdomo, lakini mbinu iliyotumiwa na mamba huyu ni ya kustaajabisha na ni vigumu kwake kuwapa ulinzi watoto.

  "Ili kujiokoa watoto walilazimika kujishikilia katika eneo la kichwa cha mama na hata wengine kupanda mgongoni ili kuwa salama," anasema.

  Thuluthi tatu ya mamba hao wanapatikana katika hifadhi ya Uttar Pradesh, hali ambayo huenda ikawa jambo la muhimu kwa mamba wadogo kujilinda kwa njia isiokuwa ya kawaida wanapobebwa na mama zao.

 3. Video content

  Video caption: Picha milioni 425 za jua zilizopigwa katika kipindi cha miaka 10

  Kwa zaidi ya miaka 10, Shirika la Nasa la kuchunguza anga za juu la Solar Dynamics Observatory (SDO) limechunguza Jua na kupiga picha milioni 425 kwa sekunde 0.75 katika mizunguko

 4. Video content

  Video caption: Meghana na Harry watishia wanahabari kuwapiga picha

  Mtawala wa Sussex Harry na mkewe Meghan wamesema kuwa watachukua hatua za kisheria baada ya wanahabari kumpiga Meghan Picha bila idhini

 5. Video content

  Video caption: Wanandoa wachanga wazama maji kwa kupiga selfie India

  Wanandoa wachanga na jamaa wake wengine watatu wamezama maji wakijaribu kupiga picha al -maarufu 'selfie' katika jimbo la Tamil Nadu Kusini mwa India.