EDP

 1. Video content

  Video caption: EPL: Liverpool yatoka sare ya bao 1 na West Brom Albion

  Semi Ajayi alifunga bao la mnamo dakika za lala salama dhidi ya viongozi wa jadwali la Epl Liverpool na kupatia West Brom alama muhimu.

 2. Video content

  Video caption: Raheem Sterlin hatocheza Jumapili dhidi ya Westham

  Mshambuliaji wa Manchester City Raheem Sterling atakosa mechi ya Jumapili ya Ligi ya Premia dhidi ya West Ham

 3. Leroy Sane

  Kocha wa Bayern Munich Niko Kovac "ana imani kubwa" watakamilisha makubaliano ya winga wa Manchester City Leroy Sane, Gareth Bale amekasirishwa na uamuzi wa rais wa Real Madrid Florentino Perez kukatiza uhamisho wake.

  Soma Zaidi
  next