Biashara ya Mihadarati

 1. Hawa hapa baadhi ya wahalifu sugu waliokuwa na utajiri ambao walipata kupitia uhalifu na ulaghai .

  Watu hawa ,wengine ambao bado wapo hai ilhali wengine wamefariki wakati mmoja walionekana kuwa kileleni mwa taaluma zao za uhalifu .Ujanja wao na weledi wao kutafuta pesa na kukwepa mkono wa sheria ulionekana kama ushujaa na hadi leo katika baadhi ya nchi wangali wanachukuliwa kama 'mashujaa' .

  Soma Zaidi
  next
 2. Video content

  Video caption: Polisi wagundua cocaine ikiwa imefichwa ndani ya maganda ya kahawa

  Polisi wagundua cocaine ndani ya maganda ya kahawa uliotumwa kutoka Colombia

 3. Video content

  Video caption: Jinsi raia wa Mexico wanavyosaidika wakati wa Covid-19

  Makundi ya watu wanaouza madawa ya kulevya wasaidia familia maskini nchini Mexico

 4. Funerals are held for American Mormons killed in an ambush in northern Mexico, November 2019

  Takriban watu 35,000 waliuawa nchini Mexico mwaka 2019, ikiwa ni idadi ya juu ya vifo tangu mwaka 1997, kwa mujibu wa takwimu rasmi. Lakini ni kwanini vifo vya watu kuwaua wengine ni vingi.

  Soma Zaidi
  next