Vikapu

 1. Video content

  Video caption: Fainali NBA: Los Angeles Lakers waishinda Miami Heat

  Los Angeles Lakers wamemaliza kusubiri kwa muongo mmoja kwa taji la 17 la NBA walipoishinda Miami Heat vikapu 106- kwa 93.

 2. Video content

  Video caption: Queen Bey atoa risala zake za rambirambi kwa Kobe Bryant na mwanawe Gigi

  Mwanamuziki Beyonce knowles aimba wimbo wa Halo katika sherehe ya kumbukizi ya Mchezaji wa mpira wa vikapu Kobe Bryant

 3. Video content

  Video caption: Mchuano wa timu baina ya Lakers na L A Clippers waahirishwa

  Wasimamizi wa mchezo wa vikapu nchini Marekani wameahirisha mechi ya La Clippers kufuatia kifo cha aliyekuwa mchezaji wao Kobe Bryant.