Afghanistan

 1. Video content

  Video caption: Eid al-Adha prayers continue as rockets fired in Afghanistan

  Watu wameendelea na sala licha ya makombora kupiga katika ya mji wa Kabul nchini Afghanstan, karibu na Ikulu wakati wa sala za sherehe za Eid al-Adha.

 2. Habib with his laptop

  Taliban wameingia kwa fujo Afghanistan na sasa wanadhibiti karibu nusu ya wilaya za nchi hiyo. Baada ya vikosi vya kimataifa vikiongozwa na Marekani vikiondoka, baadhi ya raia wa Afghanistan kwa kuhofia maisha yao wanafanya mpango wa kutoroka. Tumezungumza na wale ambao wanang'ang'ana kuondoka.

  Soma Zaidi
  next