Maji

 1. Video content

  Video caption: Profesa James kutoka Marekani asema usipooga hunuki sana

  James Hamblin,ni profesa katika Chuo Kikuu cha Yale Nchini Marekani ambaye amekaa bila kuoga kwa muda wa miaka miwili

 2. Video content

  Video caption: Zimbabwe: Jamii inayopata maji kutoka makaburini

  Kuna hofu maji hayo huenda yamechanganyika na uchafu kutoka kwa miili ya watu waliozikwa hapo

 3. Donald Trump amemuunga mkono rais wa Misri kuhusu bawa la Nile

  Kwa wakosoaji wake hatua ya Rais wa Marekani Donald Trump, kuongeza mvutano kati ya washirika wawili wa Marekani wa muda mrefu, Misri na Ethiopia, kuhusu bwawa kubwa la mto Nile ni ishara ya kufeli kwa diplomasia ya utawala wake barani Afrika.

  Soma Zaidi
  next