Walemavu

 1. Video content

  Video caption: Changamoto kwa watu walemavu kupata mkopo nchini Tanzania

  Halmashauri zote nchini Tanzania zinapaswa kutenga asilimia mbili ya mapato yake kwa ajili ya walemavu

 2. Video content

  Video caption: Uchezaji wa densi uliobadili maisha ya wanawake

  Wakati jeraha la uti wa mgongo lilipomaanisha kuwa Vickie Simmonds ataanza kutumia kiti cha gurudumu, aligundua mapenzi yake ya kudensi. Kwa usaidizi wa rafiki yake mkuu Amanda.

 3. Video content

  Video caption: Muziki watumika kuwasaidia watoto wenye ulemavu wa akili

  Asilimia moja ya watu duniani wanazaliwa wakiwa na matatizo ya akili na ubongo. Kisiwani Zanzibar, chuo cha muziki kimeanzisha darasa maalum kwa watoto wenye utindio wa ubongo.

 4. Video content

  Video caption: 'Sikuwahi kuona picha ya mtu mlemavu mtandaoni'

  Amekuwa akiangazia maisha yake katika mitandao ya kijamii kuwapa motisha watu walio na ulemavu

 5. Video content

  Video caption: Ni namna gani kijana aliyepooza aliweza kushiriki mashindano ya mbio ndefu

  Jinsi mlemavu ambaye amepooza kuanzia kiuno na miguu yote alivyoweza kushiriki mashindano ya mbio, katika muda wa saa 33, dakika 16 na sekunde 28.

 6. Video content

  Video caption: Kutana na fundi makanika asiyeona

  Pamoja na changamoto ya kutoona inayomkabili, fundi Emeka anafanya kazi ya kutengeneza magari

 7. Video content

  Video caption: Kutana na Mani Love, mchezaji wa mpira wa kikapu mwenye urefu wa mita 1.34

  Jahmani Swanson, anayefahamika kwa jina Mani Love,amekua maarufu sana kwa kucheza mpira wa kikapu licha ya kuwa na kimo kifupi.