Mazingira

 1. Video content

  Video caption: ‘Taka hizi zimetenganisha familia yangu’ - Jinsi ya kukabiliana na taka hatari Kampala

  Katika mji mkuu wa Uganda , Kampala taka zote za kila siku hazikusanywi.

 2. g

  Miaka 11,000 iliyopita kitu kisicho na kifani kwenye miaka 100,000 ya historia ya dunia kilitokea: hali ya hewa ya dunia ilikuwa imara. Kwa namna nyingine tulilazimsiha kuingia katika kipindi kujulikanacho kama Anthropocene, kipindi ambapo wanadamu uhusika kwenye mabadiliko ya hali ya hewa.

  Soma Zaidi
  next
 3. Video content

  Video caption: COP26: Mpiga picha wa Tanzania ashinda tuzo

  tuzo ambayo inalenga kuwasaidia wanahabari wachanga, waandishi na wapiga picha kusambaza taarifa za Mabadiliko ya Tabianchi kote ulimwenguni.

 4. Video content

  Video caption: Mtindo wa kufanya mazoezi kwa kusafisha mazingira wapata umaarufu Nigeria

  Mtindo wa kusafisha mazingira wakiwa wanafanya mazoezi umepata umaarufu mkubwa kwa vijana wa nchini Nigeria. Mtindo huu unaofahamika kama Plogging, ulianzia Sweeden mnamo mwaka 201

 5. Video content

  Video caption: Mabadiliko ya tabia nchi: Mbolea zilivyosababisha moto kuwaka chini ya ardhi

  Joto lililozidi kwenye Mbolea za asili za mimea na wanyama zilizooza chini ya ardhi ndio chanzo kilichosababisha moto kuwaka ardhini huko Rombo Kilimanjaro.

 6. th

  Wavuvi katika eneo la Pakistan la Balochistan wamempata samaki aina ya Ara karibu na mpaka wa maji wa nchi hiyo na Iran. Samaki hawa wa kipekee aina ya papa ni nadra sana kupatikana na wanakaribia kabisa kutoweka duniani. Samaki huyu sio kawaida kupatikana nchini Pakistan.

  Soma Zaidi
  next