Mbio za Baiskeli

  1. Video content

    Video caption: Xavier Hopkins: Mwendeshaji baiskeli mwenye upofu afadhiliwa kusafiri duniani

    Xavier Hopkins anapanga kuwa mwendeshaji baiskeli wa kushuka milima licha ya kwamba uwezo wake wa kuona ni asilimia 10.