Amerika ya Kusini

 1. Video content

  Video caption: Fukwe za paradiso ya Venezuela zilizogeuka kuwa kitovu cha wahalifu

  Likifahamika kwa picha zenye mvuto zilizowekwa kwenye kadi za fukwe za barari ya Caribbean, jimbo la Barlovento lililopo kaskazini mwa Venezuela lilikua ni eneo bora kwa watu kw

 2. Video content

  Video caption: Shakira ndiye nyota wa hivi karibuni kuuza haki za nyimbo zake

  Shakira amekuwa msanii wa hivi karibuni kuuza haki za muziki wake kwa kitita cha mamilioni ya dola.

 3. Ibada ya Evangelisti katika Santo Domingo wakati wa wiki takatifu

  Kuanzia Kusini hadi Amerika Kaskazini makundi mbalimbali ya Kievanjelisti yalikuwa yanaongoza kati ya yale yanayokiuka hatua ya kutokaribiana kama njia ya kukabiliana na janga la corona ambalo linaendelea kusababisha maafa makubwa katika bara hilo.

  Soma Zaidi
  next